MARADHI YA HUDUMA
Mithali 18:16
Utangulizi:
huduma
yako,talanta yako ikitunza inakupa mafanikio ifahamiki kila mmoja katika hii
Dunia amepewa hudua ambayo siku moja ataitolea maelezo,kwamba aliitumia vipi
alipoishi hapa duniani,
Kila jambo
linye mwanzo pia juwa linamwisho wake lolote linaloishi pia kuna kuuguwa
mimia,viumbe,machine,nk, kitu chuchote kikikosa matunzo kinaharibika kwa
ugonjwa ua kutu,au tabia kumbu 28:1
- Huduma inaweza kuanza vizuri ikaishia vibaya
- Huduma inaweza kuanza vibaya ikaishia vizuri
- Huduma inaweza kuanza vizuri ikaishia katikati
- Huduma inaweza kuanza vizuri ikawa inasuwasuwa
- Huduma inaweza kuanza na kusababisha matatizo ya familia
- Huduma inaweza kuanza ikasababisha mtengano wa ndoa,mahusiani
- Huduma inaweza vizuri ikakusababishia maadui wengi
- Huduma unaweza ukaanza vizuri ikakufarakanisha na marafiki
- Huduma inaweza kuanza vizuri ikakataliwa na watu,
Sababu za
Huduma kuuguwa:
- Mtu kukosa Huduma,au mtu kukataa kuhudumiwa,au kulizoelea neno 1wakoritho 1:18,Kumuona Mungu ni wakawaida
- Tabia ya asili,inazuwia roho wa Mungu kukuhudumia, 1Wakoritho 2:14
- Kutokutambuwa udhamani wako mwanzo 1:26
- Kutotambuwa mwisho wa safari yako, na mtu waupande wako ni nani
- Kutaka kubeba utukufu wa Mungu
- Kujifananisha na wengine,au kutaka kuwa kama wao,
- Kutaka kutambulika Zaidi ya kristo matendo 3;1
- Kuakatatamaa au kutotaka kujifunza
- Kukosa hufu ya Mungu Ndani yako
- TAMAA YA UZINZI.
Siku moja
Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye. waamuzi
16:1
KUPENDA
FEDHA KUPINDUKIA.
“ Maana
shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali
wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.” 1
Timotheo 6:10
ROHO YA
KUJIINUA.
“ Kwa maana
kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa.” Luka 14:11
Laiti kama
tunajua kwamba tukijikweza,tutashushwa basi tungeepukana na tabia hii.
Hitimisho kuponya Huduma yako na wewe mwenyewe fanya
toba ya kweli zab 51:
Ishi maisha
ya unyeyekevu Isaya 1:18 Isaya 66:2
Mshukuru
Mungu kumb 28:47