NENO LA MUNGU NI UPANGA ULAO KUWILI",,,,,,

              “Maana Neno la Mungu LI HAI, tena LINA NGUVU, tena LINA  UKALI KULIKO UPANGA UWAO  WOTE UKATAO KUWILI, tena  LACHOMA HATA KUZIGAWANYA NAFSI NA  ROHO NA VIUNGO NA MAFUTA YALIYOMO NDANI YAKE: tena LI JEPESI KUYATAMBUA MAWAZO NA  MAKUSUDI YA MOYO. Wala HAKUNA KIUMBE KISICHOKUWA WAZI MBELE ZAKE, lakini VITU VYOTE VI UTUPU NA KUFUNULIWA MACHONI PAKE YEYE ALIYE NA MAMBO YOTE” (Waebrania 4:12,13)
             “Ee Bwana, Neno lako lasimama imara mbinguni hata milele … Ndiyo kutafakari kwangu mchana kutwa …. Hunitia hekima kuliko  adui zangu, kwa maana ninayo (ninalo) siku zote. Ninazo akili kuliko wakufunzi wangu wote, maana shuhuda zako ndizo nizifikiriazo.  Ninao UFAHAMU kuliko wazee, kwa kuwa NIMEYASHIKA MAUSI YAKO …. Kwa mausia yako najipatia ufahamu, ndiyo maana  naichukia kila njia ya uongo. Neno lako ni TAA ya miguu yangu,  na MWANGA wa njia yangu” (Zaburi 119:89, 97-100, 104, 105).kama usipojifunza neno la Mungu huwezi kujiongoza na kufikia maisha tuliyoandaliwa,maamuzi ya maishaunayotaka kuishi yako mikononi mwako,na kila unachokiwaza na kukifanya kinahesabika mbele za Mungu,
hivyo ni bora ukachagu,maisha ya uzima,maisha ya umilele,chaguwa kitu chakufikiria,chaguwa kitu chakuongea.chaguwa kitu cha kufanya,na kitu chakusikia kutoka kwa watu,sikila kitu ni chema kukiona kwao,au kukisikia,,,,,,,,,,

GET NEWS FOR TODAY",

   
"of" is a very common word, and was not included in your search.
  1. Genesis 20:13
    And when God had me wander from my father's household, I said to her, 'This is how you can show your love to me: Everywhere we go, say of me, "He is my brother." ' "
    Genesis 20:12-14 (in Context) Genesis 20 (Whole Chapter)
  2. Genesis 22:2
    Then God said, "Take your son, your only son, Isaac, whom you love, and go to the region of Moriah. Sacrifice him there as a burnt offering on one of the mountains I will tell you about."
    Genesis 22:1-3 (in Context) Genesis 22 (Whole Chapter)
  3. Exodus 34:6
    And he passed in front of Moses, proclaiming, "The LORD, the LORD, the compassionate and gracious God, slow to anger, abounding in love and faithfulness,
    Exodus 34:5-7 (in Context) Exodus 34 (Whole Chapter)
  4. Leviticus 19:34
    The alien living with you must be treated as one of your native-born. Love him as yourself, for you were aliens in Egypt. I am the LORD your God.
    Leviticus 19:33-35 (in Context) Leviticus 19 (Whole Chapter)
  5. Deuteronomy 6:1
    [ Love the LORD Your God ] These are the commands, decrees and laws the LORD your God directed me to teach you to observe in the land that you are crossing the Jordan to possess,
    Deuteronomy 6:1-3 (in Context) Deuteronomy 6 (Whole Chapter)
  6. Deuteronomy 6:5
    Love the LORD your God with all your heart and with all your soul and with all your strength.
    Deuteronomy 6:4-6 (in Context) Deuteronomy 6 (Whole Chapter)
  7. Deuteronomy 7:9
    Know therefore that the LORD your God is God; he is the faithful God, keeping his covenant of love to a thousand generations of those who love him and keep his commands.
    Deuteronomy 7:8-10 (in Context) Deuteronomy 7 (Whole Chapter)
  8. Deuteronomy 7:12
    If you pay attention to these laws and are careful to follow them, then the LORD your God will keep his covenant of love with you, as he swore to your forefathers.
    Deuteronomy 7:11-13 (in Context) Deuteronomy 7 (Whole Chapter)
  9. Deuteronomy 10:12
    [ Fear the LORD ] And now, O Israel, what does the LORD your God ask of you but to fear the LORD your God, to walk in all his ways, to love him, to serve the LORD your God with all your heart and with all your soul,
    Deuteronomy 10:11-13 (in Context) Deuteronomy 10 (Whole Chapter)
  10. Deuteronomy 11:1
    [ Love and Obey the LORD ] Love the LORD your God and keep his requirements, his decrees, his laws and his commands always.
    Deuteronomy 11:1-3 (in Context) Deuteronomy 11 (Whole Chapter)
More results from New International Version

JE MUNGU ANAHUSIKA NA MAISHA YETU KWELI?...NDIYO".....


            “Kwa sababu hiyo  nawaambieni, msisumbukie maisha   yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?
NI YUPI KWENU AMBAYE AKIJISUMBUA AWEZA KUJIONGEZA KIMO CHAKE HATA MKONO MMOJA? Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini  maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayafanyi kazi, wala hayasokoti; nami nawaambia ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo.
 Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, JE! HATAZIDI SANA KUWAVIKA NINYI, ENYI WA IMANI HABA? Msisumbuke basi, mkisema, Tule nini? au Tunywe nini? au Tuvae nini? Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote” (Mathayo 6:25 – 32)
            Kuna wakristo wengine wameyaelewa vibaya maneno haya ya Bwana Yesu Kristo hata kufikia kutokufanya kazi kwa kisingizio cha kwamba Yesu Kristo alisema tusiyasumbukie maisha.
Kwao kufanya kazi ina maana kusumbukia maisha. Lakini napenda kukuambia ya kuwa Yesu Kristo hakuwa ana maana ya kutuambia tusifanye kazi aliposema tusiyasumbukie maisha.
Nadhani unaamini ya kuwa ni Roho wa Kristo aliyemwongoza Mtume Paulo kuwaandikia Wathesalonike juu ya mashauri mbali mbali ya kikristo. Katika 1Wathesalonike 3:10b anasema, “Ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.” Ni muhimu kufanya kazi. Kufanya kazi siyo kusumbuka na maisha. Kusumbuka na maisha siyo kufanya kazi.
Jambo ambalo Bwana Yesu Kristo alitaka tufahamu wakati alipokuwa akisema tusisumbukie maisha, ni kwamba katika kila jambo tumshirikishe Mungu na kumtanguliza Yeye.
Wakristo wengine wanadhani wanaweza kula, kunywa na kuvaa bila msaada wa Mungu. Yesu Kristo alisema katika Yohana 15:5b kuwa; “…… maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya NENO LO LOTE” (Hili ni pamoja na kula, kunywa na kuvaa) Ndiyo maana katika Wafilipi 4:13 imeandikwa kuwa “Nayaweza mambo yote katika YEYE anitiaye nguvu” Yesu Kristo ndiye atutuaye nguvu.
Yesu Kristo alitoa mwongozo mzuri sana wa jinsi ya kuishi hapa ulimwenguni alipose“Bali utafuteni KWANZA ufalme wake, na haki yake; na hayo  yote  ma

Followers