UNGEPENDA KUABUDU PAMOJA NASISI KARIBU SANA,

KANISA LA CALVARY ASSEMBLIES OF GOD NYANKUMBU –BERIA

Karibu sana Ndugu mpendwa!!!
Je, unatafuta kanisa lenye urafiki? utakapokaribishwa vizuri na kuonyeshwa upendo halisi wa kristo Yesu? Una moyo wa kusikia mafundisho ya Biblia yanayohusiana na mahitaji ya maisha yako ya kila siku? Je, umechoka "kutenda" dini na una hamu ya kufahamu maana ya kumjua Mungu na kumwabudu Yeye katika Roho na kweli? Basi, kanisa letu linakufaa WEWE. Mtumishi wa Mungu mchungaji samson na mkewe wanalo Neno la kinabii juu ya Maisha yako, Unakaribishwa kushirikiana nasi katika ibada zetu za Jumapili na katikati ya wiki Ikiwa unapenda kujifunza zaidi juu ya huduma zinazopatikana hapa kanisani,au kujiunga na huduma yetu hii, unakaribisha sana,na maisha yako hayatabaki kama yalivyo hivi sasa,
RATIBA YA IBADA YA JUMA ZIMA
Ibada zetu za Jumapili zinaaza hasubuhi na mapema kwanzia 1:00-2:00 ibada ya maombi
2:00-3:00 shule ya jumapili 3:00 hadi 6:45 Ibada kuu
Juma tatu 10:00 -11:30 siku ya wa mama
Juma nne 10:00-11:00 jioni mazowezi ya kwaya/kikundi cha kusifu na kuabudu
Juma tano 10:00-11:45 jioni ibada ya Neno la Mungu
Alhamisi 9:30-12:00 jioni mazowezi ya kwaya
Ijumaa 10:30-11:45jioni ibada ya maombi na maombezi
Juma mosi 4:00 asubuhi usafi kanisani na vikundi kufanya mazowezi jioni ibada 10:30-12:00
Ushahuri na maoni yanakaribishwa piga namba za simu zifuatazo:
MCHUNGAJI/: 0756 809 209 /0786608801/0784713604
WATENDA KAZI :0764589588/0756376495

Followers