Nina wezaje kupokea msamaha wa dhambi toka kwa Mungu?
Matendo 13:38 yasema, “Basi naijulikane kwenu, ndugu zangu ya kuwa kwa huyo mnahubiriwa msamaha wa dhambi.”Kuhubiri msamaha ikiwa wewe husamehi ni kazi bure una fanya,
Msamaha ni nini?
Neno “samehe” linamaanisha kusafisha nia au jambo na kulifanya kutokuwa na mawaa yoyote, ku achilia kutoka moyoni mwako , kufutilia mbali ulichokuwa umekishikilia. Tunapo kosea mtu, huuliza msamaha wao ili kurudisha uhusiano. Msamaha haupewi mtu kwa sababu mtu anastahili kusamehewa.
Matendo 13:38 yasema, “Basi naijulikane kwenu, ndugu zangu ya kuwa kwa huyo mnahubiriwa msamaha wa dhambi.”Kuhubiri msamaha ikiwa wewe husamehi ni kazi bure una fanya,
Msamaha ni nini?
Neno “samehe” linamaanisha kusafisha nia au jambo na kulifanya kutokuwa na mawaa yoyote, ku achilia kutoka moyoni mwako , kufutilia mbali ulichokuwa umekishikilia. Tunapo kosea mtu, huuliza msamaha wao ili kurudisha uhusiano. Msamaha haupewi mtu kwa sababu mtu anastahili kusamehewa.
Hakuna anaye stahili kusamehewa. Msamaha bali hii ni kama ishara ya upendo, huruma na neema. Msamaha ni uamuzi anaotakiwa kufanya mtu aliye kwazwa kutoshikilia jambo ndani yake kinyume cha mtu mwengine, haijalishi amekukosea kiasi gani.
Bibilia inatuambia ya kwamba sote tunahitaji msamaha toka kwa Mungu. Sote tumefanya dhambi. Mhubiri 7:20 “Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi.” 1Yohana 1:8 “Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu.” Dhambi zote ni kitendo cha uasi kinyume chake Mungu (Zaburi 51:4). Basi kwa hivyo, tunahitaji kwa vyovyote msamaha wake Mungu.Kama dhambi zetu hazitasamehewa, tutakuwa katika adhabu ya milele tukiteseka kwa ajili ya madhara ya dhambi zetu (Mathayo 25:46;Yohana 3:36).
ni upate vipi msamaha?
Kwa shukurani, Mungu ni mwenye upendo na huruma-mwenye hali ya kutusamehe dhambi zetu au makosa yetu, 2Petro 3:9 “Yeye hutuvumilia maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.” Mungu anatamani kutusamehe, kwa hivyo alimtowa yesu kristo kwa ajili ya msamaha wetu.
Adhabu ya haki pekee inayostahili kwa ajili ya dhambi zetu ni mauti. Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti…..” Mauti ya milele ndiyo tuliyopokeakama mshahara wa dhambi zetu. Mungu, kwa mpango wake mahususi, alifanyika kuwa mwanadamu - Yesu Kristo
Bibilia inatuambia ya kwamba sote tunahitaji msamaha toka kwa Mungu. Sote tumefanya dhambi. Mhubiri 7:20 “Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi.” 1Yohana 1:8 “Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu.” Dhambi zote ni kitendo cha uasi kinyume chake Mungu (Zaburi 51:4). Basi kwa hivyo, tunahitaji kwa vyovyote msamaha wake Mungu.
ni upate vipi msamaha?
Kwa shukurani, Mungu ni mwenye upendo na huruma-mwenye hali ya kutusamehe dhambi zetu au makosa yetu, 2Petro 3:9 “Yeye hutuvumilia maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.” Mungu anatamani kutusamehe, kwa hivyo alimtowa yesu kristo kwa ajili ya msamaha wetu.
Adhabu ya haki pekee inayostahili kwa ajili ya dhambi zetu ni mauti. Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti…..” Mauti ya milele ndiyo tuliyopokea
(Yohana 1:1, 14). Yesu alikufa juu ya msalaba kwa kuchukua adhabu tuliyo stahili-mauti. 2Wakorintho 5:21 inatufundisha, “Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika yeye. “Yesu alikufa msalabani, akichukua adhabu tuliyo stahili!Kama Mungu, kifo chake Yesu kilitoa msamaha wa dhambi kwa ulimwengu mzima. 1Yohana 2:2 asema, “Naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. “Yesu alifufuka katika wafu, akishuhudia ushindi juu ya dhambi na mauti
(1Wakorintho 15:1-28). Mungu apewe sifa kwa kupitia kifo na kufufuka kwake Yesu Kristo, Sehemu yote ya pili ya kitabu cha Warumi 6:23 ni kweli, “…bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.”kwahiyo maovu tunayoyatenda kwasababu ni kinyume cha makusudio ya Mungu athabu yake ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa mlele,
Je, ungetaka dhambi zako zisamehewe?
Je, ungetaka dhambi zako zisamehewe?
Je, uko na hisia za kuudhi za kila mara zinazo kuhukumu na kuonekana kuwa ngumu kuepukika? Msamaha wa dhambi zako upo ikiwa utamwamini Yesu Kristo kama mwokozi wa maisha yako.
Waefeso1:7 katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, msamaha wa dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake.” Yesu alitulipia deni ili tukapate kusamehewa. Unacho stahili ni kumuuliza Mungu akusamehe kupitia kwake Yesu, ukiamini yakwamba Yesu alikufa ili upate msamaha-naye atakusamehe!
Yohana 3:16-17 ina habari hii ya ajabu, “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.”
Je, ni jambo lililo rahisi kusamehe au kusamehewa?
Ndio, ni rahisi! Huwezi kupata msamaha toka kwa Mungu. Huwezi kulipia msamaha wako toka kwa Mungu. Unaweza ku upokea tu, kwa imani, kupitia neema na huruma za Mungu. Kama unataka kumkubali Yesu Kristo kama mwokozi wako na kupokea msamaha toka kwa Mungu, hapa kuna ombi unalo weza kuomba. Kwa kusema ombi hili au ombi lengine lolote lile haiwezi kukuokoa. Ni kwa kumwamini Yesu Kristo pekee ndiko kutaleta msamaha wa dhambi.
Ombi hili ni njia ya kumwelezea Mungu imani yako kwake na kwa kumshukuru kwa kukupea msamaha. “Mungu, najua ya kwamba nimefanya dhambi kinyume chako na ninastahili adhabu. Lakini Yesu Kristo akaichukua adhabu niliyo stahili ili kwa kumwamini yeye nipate kusamehewa. Ninaziacha dhambi zangu na nina weka imani yangu kwake ili niokolewe ashukuriwe yesu aliyetulipia madeni yote na katufundisha na sisi kusamehe wengine kama tulivyo samehewa,
Je, umefanya uamuzi kwa Kristo kwa kile ulicho soma hapa?Kama ndiyo, tafadhali tafuta link ya sala ya toba na uifanye kwa kumaanisha toka moyoni mwako,
Je, umefanya uamuzi kwa Kristo kwa kile ulicho soma hapa?