KAMA UNAHITAJI MAOMBI MAALUMU JAZA FOMU HIYO"

MAOMBI:
Chukua Hatua Ya Imani Pamoja Nasi Kwa  maombi kwa lile hitaji unalotaka liombewe:

Hakuna jambo lisilowezekana pale unapoweka imani yako kwa Mungu

usiogope siri zote zinahifathiwa, uwe huru ukidanganya,utakuwa umejidanganya wewe mwenyewe na kumdangana yule tunayemtarajia kufanikisha ombi lako karibu sasa,

Tafadhali jaza fomu hii, kwanza kwa kuchagua aina ya maombi unayohitaji kufanyiwa au kuyafanya na kisha endelea kujifunza,tutapo tembelea safu hii tutayachukuwa  na tutaanza  kuyafanyia kazi haraka sana, yaani kuomba sawa sawa na mahitji yako, ni bure maombezi hakuna garama ya aina yeyote ile unayopaswa kulipa, na pia kama wewe huna hitaji la aina yeyote basi nunakuomba ungana nasi katika kuwaombea wale wenzetu wenye mahitaji mbali 

Kama unahitaji maombi kwa ajili ya mahitaji yako mbali mbali, basi anza kujaza maelezo yako kwa kufuata maelekezo unayoyaona  hivyo sasa andika maombi yako kwenye nafasi iliyopo kwenye kisanduku. Unaweza pia kutumia njia nyingine yepesi zaidi na ya haraka kwa zarura piga simu tutashirikiana kwa pamoja maombi yako ,usibeep simu, piga au tuma ujumbe wa maandishi ya kulenga hitaji lako,piga sasa,0756809209/0784713604/0786608801,

lakini inawezekana ukawa unajisikia kutuombea ili huduma Bwana aliyoiweka ndani yetu izidi kukuwa mpaka kuweza kufikia  taifa mpaka mataifa,usisite kutuombea na tutafurahi sana na  pia tukakufahamu wewe uliyeamuwa kuubeba mzigo huo mzito,japo tuweze kukushukuru mimi na familia yangu, Zaidi usisahau kuombea Nchi ya Tanzania  watu wake wawe na upendo amani na mali, ili wawezekuepukana na umasikini uliowatamia waTanzania,

Jina Lako:
E-Mail:
Website:
Mji: , Mkoa: Nchi:

Aina ya maombi unayoyahitaji yafanyike  juu yako:
Hii itatusaidia kukufahamisha hatuwa  tulipofikia,na kwaajili ya kukupa wewe maelekezo zaidi,,

Followers