nikiwa nasoma Neno la Mungu Roho mtakatifu aliendelea kunifundisha mambo mbalimbali juu ya yeye mwenyewe na Uungu wake na akanipitisha sehemu mbali mbali za maandiko niliweza kuuna mambo mengi sana ila mmoja ya somo nililo pendelea kushiriki na wewe ni sifa za Mungu
Sifa za Mungu zipo nyingi sana ila utafanikiwe kuzisoma baadhi yake na kama utapendelea Basi utafuatili katika neno na utakutana nzaonyingine zaidi kabisa ambazo katika hali ya kawaida huwezi kumaliza kuzisoma bali utanufaika tu basi pitia hizi baadhi fuatana nami hapa
- Mungu yupo kila mahala, sasa kufahamu sifa yake hii itakusaidia ikiwa utanielewa ninachokimaanisha hapa hivyo ukifahamu sifa zake itakusaidia kubadilisha mtazamo na maisha yako kwa ujumla, Sasa kama Mungu yupo kila mahala Inamaanisha nini wewe kama mwanadamu unaweza kudanganyana na mwezako kwa kile mnachotaka kudanganyana haswa mnapokuwa hamuonani ila kufahamu kuwa Mungu yupo kila mahala inakuwezesha kuwa nahofu ya Mungu, ya kuto mukosea mungu kwa kutenda dhambi yeye anakuona popote ulipo na hata sasa pamoja na hapo ulipo unasoma ujumbe huu anakuona na anakujuwa vizuri sana na analiona hitajii lako
unaweza kufuatilia zaidi kwa kusoma Zaburi 139:7 yeye ndiye pekee aliyeko kila mahali,
- Yeye Mungu anajuwa kila jembo la juu mbinguni na Duniana na ya wanadamu wote siri zetu zote ziko wazi kwake hakuna la kujificha wala siri kwake,
hivyo ukitambuwa ya kwamba yeye anajuwa kila jambo inakupa wewe uhuru wa kupelea mahitaji yako wakati wowote na bila kuangalia hali au mambo yalio kuzingira
1wakoritho 10:11 fuatilia utafahamu zaidi na itakusaidia sana
- Yeye ana Nguvu zote za kila jambo na hashindwa na jambo lolote lile, Zaburi 62:11
- Mungu ni wamilele inamaanisha kwa huo umilele kwa yeyote atakaye kubaliana naye na kuishi maisha anayoyataka maanayake ataridhi maisha ya umilele
Mpendwa msomaji yapo masomo mengi yanayo weza kukusaidia sana katika Safu hii ni nakusii uendeelee kuitembelea na kama unahitaji lako binafsi ambalo ungehitaji musaada zaidi kama upo Mwanza-Geita unaweza ukatutembelea kanisani tupo pale Nyankumbu kwenye maghala ya pamba karibu sana na Beria ya Polisi uliza mtu yeyote kanisa la kalvari assemblies of God lipo wapi watakusaidia nasi tutafurahi sana kaonana na wewe uso kwa uso na maisha yako hayatabaki kama yalivyo sasa maana kuna mambo yana hitaji ukaribu kuna mabo mengine huwezi ukayamaliza kwa kusoma hapa kwenye hii bsafu tu yanahita ji ushahuri wa karibu zaidi
Lakini pia inawezekana
wewe ndugu yangu Kama haupo Mwanza geita Basi kutufikia ni Rahisi kabisa unaweza ukasafiri tu na ukaja hapa tulipo au unaweza kutuita ulipo wewe ila pia njia nyingine Rahisi kabisa unaweza ukapiga simu na utasaidiwa kwa ukaribu kabisa, karibu sana Mchungaji na mkewe wanalo Neno la kinabii juu ya maisha yako, karbu sana, piga namba hizi,,,0756-809 209/0786608801/0784630209/0653294219 Mungu akubariki sana kwa kutembelea Safu hii,