
sasa ufanye nini,nchi inanunuwa mabomu badala ya kununuwa matreckta ya kulimia, sababu ni nini? bila shaka inajihami kwa vita je wewe umejipanga vipi kupambana na hali kama hii isijekukutokea wewe ukashindwa kuokowa familia yako,
mimi ni na kukumbusha tu umekubali au hujakubali siyo kazi yangu, maana na mimi ninamzigo nilioubeba kwaajili ya kuwasaidia wahitaji kama wewe uliyejisahau,tazama kwa makini
sana watoto kama hawa hapa hawajajizaa wenyewe wamezaliwa na mzazi kama wewe kwa namna moja au nyingine fumba na kufumbuwa wanajiona katika hali hii na hawajuii hatima ya maisha yao ni nini, ukweli ni kwamba watoto wa mitaani wanahitaji misaada sana kutoka kwetu,
wapo watu wanaopuuzia na kusema hao wamekimbia tu nyumbani ili kuja kuomba omba swali mbona wa kwako hawakimbii nyumbani na kwenda kuomba omba mtaani hapo lipo tatizo kubwa ila niseme kitu kimoja kabla hatuja fuatilia tatizo lililo sababisha watoto wakimbie nyumbani tuwasaidie kwanza ndipo tuweze kutatuwa tatizo haisaidii kutatuwa tatizo ikiwa hawa wamesha toweshwa na njaa au magonjwa ni mambo yanayoumiza sana kwa kila mzazi aliyezaa mtoto, uzuiliwi kusema chochote kuhusu watoto wa mitaani, ila
Neno la mungu linatuamuru kuwa saidia na kuwajali yatima na wajane,haijalishi mtoto huyu wazazi wake wako wapi inawezekana kwa sababu ya hali ngumu ya maisha wazazi waka mkataa au alitupwa au wazazi walitengana haya yakatokea nyumba ikiyumba ni mathara mengi na makubwa yanatokea haswa kwa watoto, watoto kupoteza masomo kubwakwa,kutumikishwa kazi wasizostahili kufanya uzalilishaji ndugu yangu unapo yaona haya unajisikia kufanya nini juu ya hata mtoto mmoja?
nirudi kwa wazazi wanaokataa watoto wao je? watoto wakiwa omba omba kama hivi ndivyo unafurahia wengine wanazaa bila mpangilio wa kufaahamu watoto wanaoweza kuwalea siku ya siku wanazalisha watoto wa mitaani, tena hili tatizo linachangiwa sana kwakiasi kikubwa na wanaume,
unamkuta mtu ameoa bado hataki kutosheka na aliye naye bado anazaa nje ya ndowa kwa siri,anaogopa kumtambulisha nyumbani mtoto huyo wa nje ya ndowa ikitokea amezaa wengi huko nje ya ndowa,kisha uchumi wake ukayumba au kufariki dunia watoto wanakosa pakwenda mwisho wana malizikia mtaani wanasomea elimu yao ya kuomba mpaka anahitimu basi anakuwa ni wa mtaani, mtu anazaa na binti yake na mama yake yuko hai jamani tumekuwa wanyama?
au mwingine anazaa na binti yake wa kazi za nyumbani,sasa utazaa na wangapi au umeoa wanawake wangapi ili ijulikane,maana kila binti anayekuja kwako lazima ufanye naye mapezi, na ndiyomaana unapata ugonjwa wa zinaa bila hatakujuwa kwasababu una tabia kama hiyo unamkuta na mwingine mwenye tabia kama yako unajikuta umeukaribisha ukimwi ndani ya familia je? huja zalisha watoto wa mitaani wakati mwingine ukiombwa msaada na watoto wa mitaani una wakimbiza lakini inawezekana wengine umewazalisha wewe au ndugu yako au rafiki yako,
kwa sababu ya tabia mbaya, wale waliyopotelewa na wazazi kwaajili ya sababu inayoeleweka wengine wanaunafuu kidogo maana hawawajui kabisa wazazi wala kuwawona sasa wewe ukipita walishatambulishwa baba yako ni fulani na anakuona mtoto ana pata sana uchungu,
usahuru wangu kama umeitawanya familia yako irudishe tu,au kama umezaa nje ya ndowa fanya uwamuzi mapema ya kujadiliana na unayeishi naye sasa hivi kwaajili ya kuandaa kizazi chema mateso wanayoishi nayo baathi ya watu hata leo yamesababisha na wazazi, Mungu atusaidie tufahamu jinsi ya kuyashika maagizo yake,
Hey! listen my friend.. Find one street child and make friendship with him or her!... something that you don't know is that...believe me he will change your life for real by hearing from him difficulties they faces everyday in their life.You will find yourself that you are so luck to be one you are and where you are right now.that and believe me you will be blessed.
You know what?..Because no one knows about tomorrow: