FORM KWAAJILI YA WAGENI

Tumia namba za simu hizi kupata maelekezo ya kushiriki na Sisi katika ibada zetu–: 0756 809 209/0653 294219


Njoo tushiriki pamoja ibada  inayoongozwa na Nguvu za Roho Mtakatifu fuatilia Ratiba za Ibada hapa

Juma tano Ibada ya mafundisho ya Bibilia

Saa 10:00-12:00 Jioni kwa kanisa nzima

Ijumaa Ibada ya maombezi kwa kanisa zima

Saa 10:00-12-00 Jioni

Jumamosi Asubuhi usafi wa kanisa nzima Saa 8:00-6:00

Kwanzia Mchana Saa 7:00 hadi 12:00 ni Huduma ya waimbaji wote, wa kanisa,(Mazoezi)

Jumapili Asubuhi kwanzia Saa 1:00 Hadi Saa 3;00 Maombi kwa kanisa zima, Saa 3:00 Hadi 4:30 Mafundisho

Baada ya mafundisho Ibada kuu 4:30 Hadi Saa 7;30

Ibada ya jioni Inaanza Saa 9:30 Hadi 12:00 Karibu Sana,

…………………………………………………………………

Jina langu naitwa ……………………………………….Mk/M/m Mtaa………………...NO……………………………Maombi Yangu 2ni ………………………………………..



Followers